Uncategorized admin 0 2020-03-21
Mkuu wa wilaya ya Ukerewe Cornel Magembe akizungumza katika kikao kati ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula na Kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya ya Ukerewe, Mapadri wa Kanisa Katoliki pamoja na uongozi wa kijiji kusuluhisha mgogoro wa ardhi eneo la Kagunguli jana.