Uncategorized admin 0 2020-03-21
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akisalimiana na Uongozi wa wilaya ya Ukerewe alipaowasili kusuluhisha mgogoro wa ardhi unaohusisha Kanisa Katoliki na wananchi katika eneo la Kagunguli Ukerewe jana. Kushoto kwa Naibu Waziri ni Mkuu wa wilaya ya Ukerewe Cornel Magembe.