Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao baina yake na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Ukerewe

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao baina yake na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Ukerewe

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza katika kikao baina yake na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Ukerewe, Mapadri wa Kanisa Katoliki na uongozi wa kijiji kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro wa ardhi eneo la Kagunguli.