Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akisalimiana na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi wilaya ya Ukerewe Sharon Tully alipowasili wilayani humo kushughulikia mgogoro wa ardhi katika eneo la Kagunguli wilaya ya Ukerewe mkoa wa Mwanza.